Habari kuhusu Habari za wenyeji kutoka Juni, 2021
Ujerumani yakiri kuhusika na mauaji ya kimbari nchini Namibia enzi za ukoloni, lakini wahanga wasema haitoshi
Miaka zaidi ya 100 baada ya mauaji ya kimbari ya watu wa kabila la Ovaherero na Nama nchini Namibia, Ujerumani inakiri kuhusika kwake na itatoa fedha kufadhili miradi nchini Namibia kwa kipindi cha miaka thelathini.