Habari kuhusu Vichekesho kutoka Machi, 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Twiti ya kwanza kutoka kwa Rais wa Madagaska
Rais mteule wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina amefungua akaunti yake ya mtandao wa twita mnamo tarehe 23 Machi, 2014. Hii ndiyo twiti yake ya kwanza : Kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo...
Namna 10 Ambazo Warusi na Wa-Ukraine Walivyopokea Hotuba ya Putin Kuichukua Crimea

Vyovote mtu anavyojisikia kuhusu suala la Crimea, hotuba [ya Putin], ilikuwa ya kihistoria, na ndiyo ambayo wanablogu waliipokea kwa gumzo, kama ilivyo kawaida yao mtandaoni.