Habari kuhusu Habari Njema
VIDEO: “Nyumba ya Kusubiri” kwa Wajawazito Nchini Peru
In rural Peru, women are encouraged to spend their last weeks of pregnancy in special residential facilities that offer comfort and care. But the waiting is difficult.
Mkutano wa Wanawake wa Nchi Zizungumzao Kifaransa 2014 Wafunguliwa Kinshasa, DRC
Mkutano wa wanawake wa nchi zizuingumzao Kifaransa 2014 [fr] Unafunguliwa leo jijini Kinshasa, DRC. Huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika Paris mwaka 2013. Wakati ule wa kwanza ulijikita katika kupunguza vitendo vya kudhalilisha wanawake katika maeneo yenye migogoro, lengo la mkutano huu wa 2014 litakuwa ni wajibu wa wanawake...
Madagaska Bado Inasubiri Waziri Mkuu, Serikali Mpya
Mwezi mzima tangu Rais mteule Hery Rajaonarimampianina achaguliwe kuwa mkuu wa nchi nchini Madagaska, bado hakuna dalili nani atakuwa waziri mkuu na akina nani wataunda serikali. Ma-Laza anahoji kuwa suala kuu si hasa nani atakuwa waziri mkuu bali atakuwa ana ajenda gani akikabidhiwa ofisi [fr]: Un technicien hors pair, rassembleur,...
Upasuaji wa Kwanza wa Moyo Kongo Brazzaville
Mtandao wa kimataifa wa Afya La Chaîne de l’Espoir (Maana yake Kiungo cha Matumaini) unaripoti kuwa watoto saba wa ki-Kongo waliokuwa na hali mbaya wamenufaika na upasuaji wa moyo [fr] uliofanyika Februari 14 mjini Brazzaville, Kongo. Kwa msaada wa Msaidizi wa Kongo Shirika lenyewe, Prince Béni na Maya, wote wakisumbuliwa na...
Shindano la Kuchochea Uanzishwaji wa Biashara Mpaya Nchini Madagaska
Harinjaka, mwanzilishi wa mradi wa Habaka na mwanablogu anayeishi Madagaska, ameanzisha Shindano la biashara mpya Antananarivo 2014 [fr] lenye lengo la kuchagua na kuunga mkono wazo la biashara nchini Madagaska. Anaamini kwmaba kuna mustakabali mzuri kwa ujasiriamali na ubunifu [fr] nchini Madagaskari. Hapa unaweza kuona tangazo la tukio hilo[fr] :
Muandaaji wa Katuni ‘Meena’ Abadilisha Mitizamo ya Watu wa Asia ya Kusini Kuhusu Wasichana
"Since her inception 14 years ago she has shown millions of women and girls what can be achieved."
Uvumbuzi: Kompyuta Inayotumia Nishati ya Jua Nchini Mali
Kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika Afrika, hivi karibuni tulionyesha Mashine ya Kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3D iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini Togo na mashine ya kukagua usahihi wa maneno katika lugha ya spell ki-Bambara . Leo, tunawaletea kompyuta ya kwanza kutumia...