Habari kuhusu Haki za Mashoga kutoka Mei, 2021
Trinidad na Tobago yakaribia kurekebisha Sheria ya Fursa Sawa kutambua ushoga
Mijadala kuhusu hitaji la kubadili Sheria ya Fursa Sawa nchini Trinidad na Tobago imepamba moto baada ya benki kubwa nchini humo kuchukua hatua kubwa za kutambua haki za makundi mbalimbali.