Habari kuhusu Haki za Mashoga kutoka Februari, 2019
Jumuiya ya Mashoga Nchini Guyana Yaandaa Maandano ya Kwanza Kujivunia Ushoga
"#Guyana imebaki kuwa nchi ya pekee barani Amerika Kusini ambako ushoga bado ni kinyume cha sheria. Nchini humo, pamefanyika maandamano ya kwanza ya kujivunia ushoga. Huenda hiyo ni hatua ya kuelekea kuuhalalisha ushoga..."