· Disemba, 2009

Habari kuhusu Haki za Mashoga kutoka Disemba, 2009

Uganda: Rais Kuzuia Muswada Unaopinga Ushoga

Muswada Unaopinga Ushoga wa 2009 uliopendekezwa nchini Uganda bado unasubiri uamuzi wa mwisho utakaotolewa na bunge la nchi hiyo, lakini gazeti la Daily Monitor lilitaarifu Jumatano kuwa Rais Yoweri Museveni ameihakikishia Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani nia yake ya kuukwamisha muswada huo

29 Disemba 2009