Habari kuhusu Haki za Mashoga kutoka Juni, 2021
Wanawake wawili waliobadilisha jinsia nchini Kamerun wahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa ‘kujaribu ushoga’
"Kuna sheria ipi inayoadhibu waliobadili jinsia kuwa wanawake kwa kosa kuvaa sketi fupi?" Hakuna mtu anastahili kifungo kwa kuhisiwa tu bila ushahidi, anasema mwanasheria wa Shakiro na Patricia.