Habari kuhusu Wakimbizi kutoka Novemba, 2013
Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza: ‘Iko Wapi Serikali Yetu?’
Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini bado wahanga wa kimbunga wanalalamika kuwa hawajapokea msaada wowote kutoka serikalini