· Oktoba, 2013

Habari kuhusu Wakimbizi kutoka Oktoba, 2013

Kuwasaidia Waathirika wa Tetemeko la Balochistan

  4 Oktoba 2013

Zaidi ya watu 300,000 wameathirika kufuatia tetemeko la hivi karibuni katika wilaya sita za Jimbo la Balochistan nchini Pakistan. Kashif Aziz wa mtandao wa Chowrangi anatoa habari za namna ya kutoa msaada kwa waathirika wa tetemeko la Balochistan.