· Juni, 2015

Habari kuhusu Historia kutoka Juni, 2015

Afrika Kusini Yakumbuka Mashindano ya Kombe la Dunia 2010 Yalivyokuwa

Mnamo Juni 11, 2010, Afrika Kusini ilikuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya michezo duniani. Ni mara ya kwanza kwa mashindano hayo kufanyika barani Afrika.

Kwa nini Tarakimu 64, 89 na 535 Hazipatikani Kwenye Mtandao wa Intaneti China?