Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska

Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa Rais umepangwa kufanyika tarehe 25 Oktoba, 2013 :

Review of all candidates platforms for 2013 elections by Madatsara (with permission)

Tathmini ya majukwaa ya wagombea wote wa uchaguzi wa 2013 na Madatsara (kwa ruhusa)

Exit mobile version