PICHA: Maandamano mjini Caracas, Aprili 1

Tovuti ya PRODAVINCI inachapisha picha nne za Andrés Kerese zilizopigwa wakati wa maandamano yaliyotokea Chacao, moja ya mitaa ya wilaya ya Caracas, Jumanne, Aprili 1, 2014.

Chacao

Picha na Andrés Kerese, imetumiwa kwa ruhusa.

Exit mobile version