Habari kutoka 10 Aprili 2014
PICHA: Maandamano mjini Caracas, Aprili 1
Tovuti ya PRODAVINCI inachapisha picha nne za Andrés Kerese zilizopigwa wakati wa maandamano yaliyotokea Chacao, moja ya mitaa ya wilaya ya Caracas, Jumanne, Aprili 1, 2014.
Mradi Wa Kutumia Simu za Mkononi Kuhamasisha Usomaji
Lauri anaandika kuhusu mradi uliopo Afrika Kusini, Mfuko wa Usomaji wa FunDza, unaotumia teknolojia ya simu za mkononi kuhamasisha tabia ya kusoma kwa watoto: Kinachofurahisha, hata hivyo, ni pale Waafrika...
Mwanablogu wa Iran Aliyefungwa Aandika Barua Kuelezea Anavyoteswa
Mwanablogu anayefahamika kama Siamak Mehr ameandika barua ya wazi kutoka jela anakoishi kwenye chumba kidogo na wafungwa 40. Anatumikia kifungo cha miaka minne kwa kosa la kublogu
Wa-Macedonia Wamcheka Rais wao ‘Kuchemka’ Kwenye Mahojiano
Wakati uchaguzi wa Rais Macedonia unakaribia, makosa aliyoyafanya Rais wa Macedonia Gjorge Ivanov kwenye mahojiano ya televisheni yasababisha majadala mkali miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii