Filamu 14 za Mazingira zenye Kuvutia

TVE (Televisheni inayohusika na Mazingira) yaonesha video 14 bora za washindani waliofika fainali kwenye shindano la kimataifa la filamu bora ya mazingira.

Washiriki kutoka sehemu mbalimbali za dunia wametengeneza filamu zinazochukua muda wa dakika 1 kwa kuzingatia mada zinazohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa, maendeleo endelevu pamoja na bayoanuai.

Kila mmoja anaweza kupigia kura filamu aipendayo; mwisho ni tarehe 19 Desemba, 2013.

Exit mobile version