[1]Sunset Over Selungo ni filamu [1] ya dakika 30 inayoonesha namna kabila la wenyeji la Penan linavyopigania [2] kutunzwa kwa misitu ya asili kwenye kisiwa cha Borneo nchini Malaysia. Borneo ni kisiwa kikubwa zaidi barani Asia. Filamu hiyo imetengenezwa na mtayarishaji huru wa filamu wa Kiingereza, Ross Harrison
Filamu Yaonesha Namna Kabila Dogo Linavyojaribu Kuwazuia Wakata Misitu Kuharibu Mazingira
· Imeandikwa na Mong Palatino Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Asia Mashariki, Malaysia, Filamu, Habari za wenyeji, Maandamano, Mazingira, Uandishi wa Habari za Kiraia