Habari kutoka 24 Septemba 2014
Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia
Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.
Serikali ya Marekani Yadai Takwimu za Shirika la Indymedia Athens
Mnamo Septemba 5, Wizara ya Sheria ya Marekani iliitaka shirika linaloshughulika na masuala ya kuhifadhi tovuti iitwayo May First kutoa taarifa za mmoja wa wateja wake, ambaye ni Kituo cha Ugiriki cha...
Filamu Yaonesha Namna Kabila Dogo Linavyojaribu Kuwazuia Wakata Misitu Kuharibu Mazingira
Sunset Over Selungo ni filamu ya dakika 30 inayoonesha namna kabila la wenyeji la Penan linavyopigania kutunzwa kwa misitu ya asili kwenye kisiwa cha Borneo nchini Malaysia. Borneo ni kisiwa...
Bendi Kutoka Ukraine Yatikisa You Tube kwa Video ya Muziki Ionekanayo katika Mfululizo wa Vifaa Vingi vya Apple
Kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini Ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa You Tube pamoja na wale wa Apple kupitia kwenye video fupi ya muziki ambayo hadi sasa imeshatazamwa na watu zaidi ya nusu milioni.