Cha kushangaza, polisi mjini Bangkok, Thailand wanadai kwamba asilimia 30 ya ajali za barabarani husababishwa na ‘magari yasiyostahili kuwa barabarani’ wakati yanayo endeshwa kasi ni asilimia 5 ya ajali. Mwandishi Thitipol Panyalimpanun anabainisha [1] kuwa katika nchi nyingi, ajali za barabarani hulaumiwa kwa makosa dereva na si juu ya magari.
Sababu za Ajali Barabarani Mjini Bangkok
· Imeandikwa na Mong Palatino Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Asia Mashariki, Thailand, Safari, Uandishi wa Habari za Kiraia