Sherehe ya ‘Siku ya Makazi Duniani’ Nchini Cambodia
· Imeandikwa na Mong Palatino Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Asia Mashariki, Kambodia, Maandamano, Maendeleo, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, UtawalaZaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano [2] wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha [3] kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.