- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

“Maendeleo kwa Akina Nani?” Wa-Guatemala Wapinga Mradi wa umeme wa Maji

Mada za Habari: Amerika Kusini, Guatemala, Maandamano, Maendeleo, Uandishi wa Habari za Kiraia

“Maendeleo kwa ajili ya nani? Je, fedha zitabaki katika jamii? Hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini. Sisi ni tunacho uliza sasa ni kwa serikali kufuta leseni zote za [madini na umeme wa maji] ambazo zimetolewa.” Katika Upside Down World [1], Kelsey Alford-Jones, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu Guatemala /USA (GHRC) [2], inanaandika kuhusu harakati za upinzani dhidi ya mapendekezo ya miradi ya kuzalisha umeme katika Santa Cruz Barillas, Guatemala. [3]blockquote>