- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Picha Nyeusi: Waafrika Nchini Italia

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ulaya Magharibi, Ghana, Italia, Naijeria, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhamiaji na Uhamaji, Upiga Picha

Picha Nyeusi [1] ni kazi za wapiga picha watatu – Marco Ambrosi, Matteo Danesin na Aldo Sodoma – Kituo cha Stadi za Uhamiaji mjini Verona, Majiji ya Verona na Padua, Chuo Kikuu cha Padua Idara ya Sosholojia ikiwaonyesha Waafrika nchini Italia.