Habari kutoka 27 Septemba 2013
GV Face: Magaidi Wanatwiti? Shambulio la Westgate
Toleo la juma hili la mfululizo wa Mazungumzo yetu ya GV Face kupitia Google Hangout, tunajadili wajibu wa uandishi wa kiraia baada ya tukio la kigaidi la Kenya.
Picha Nyeusi: Waafrika Nchini Italia
Picha Nyeusi ni kazi za wapiga picha watatu – Marco Ambrosi, Matteo Danesin na Aldo Sodoma – Kituo cha Stadi za Uhamiaji mjini Verona, Majiji ya Verona na Padua, Chuo...
Daktari wa Peru ni Miongoni mwa Waathirika Waliopeza Maisha Westgate
Shirika la Habari la Andina limearifu [es] siku ya Jumamosi, Septemba 21, 2013, kwamba daktari wa ki-Peru Juan Jesús Ortiz ni mmoja wa watu waliuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea...
GV Face: Mitazamo Tofauti Kuhusu Habari za Mgogoro wa Syria
Namna gani taarifa za Syria zinatofautiana kulingana na uliko? Na hilo linamaanisha nini kwa wananchi wa Syria? Tulilizungumza hili pamoja na mambo mengine katika toleo la pili la GV Face.
Shambulizi la Nairobi Lasababisha Kutengenezwa kwa Zana Mbili za Dharura Mtandaoni
Zana tumizi ya "The Ping" itawasaidia wanafamilia kutafutana haraka wakati wa dharura wakati "Blood Donation Kenya" itasaidia kuoanisha vituo vya utoaji damu na watu wanaojitolea damu.