- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Je, Italia Iko Tayari kwa Waziri Aliyezaliwa Afrika?

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Ulaya Magharibi, Italia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Ubaguzi wa Rangi

“Je, Italia iko tayari kwa Waziri wa Serikalki aliyezaliwa Afrika?,” Donata Columbro anauliza [1]:

Miezi miwili baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, Italia ina serikali mpya. Na Cécile Kyenge, mwenye umri wa miaka 48,  daktari wa upasuaji macho na raia wa Italia aliyezaliwa Kongo, ni Waziri mpya wa Ushirikiano katika baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Enrico Letta.