- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: Utani Kuhusu Mdahalo wa Urais

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Utawala, Vichekesho

Raia wa mtandaoni kadhaa walitwiti kuhusu mjadala wa pili wa rais na waliwakejeli wagombea. Potkin Azarmehr alitwiti [1] “Wagombea urais wanaweza kuombwa kucheza muziki.”