Habari kutoka 6 Juni 2013
Vijana wa Kisaudi Wakamatwa Wakituhumiwa ”Kukashifu Dini”
Vijana wawili wa ki-Saudi walikamatwa mjini Riyadh na Kamati ya Kukuza Maadili na Kuzuia Maovu (CPVPV) kwa tuhuma za kukashifu dini. MMoja wao, Bader Al-Rasheed, anasimulia tukio hilo kwa twiti kadhaa.
Iran: Utani Kuhusu Mdahalo wa Urais
Raia wa mtandaoni kadhaa walitwiti kuhusu mjadala wa pili wa rais na waliwakejeli wagombea. Potkin Azarmehr alitwiti “Wagombea urais wanaweza kuombwa kucheza muziki.”