- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kenya: Video ya Fundi Baiskeli na Vifaa vya Kienyeji

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Mawazo, Sanaa na Utamaduni, Teknolojia, Uchumi na Biashara

Katika blogu ya Afrigadget [1] kuna video [2] ya fundi baiskeli anayeonyesha na kuelezea jinsi ya kutumia zana alizozitengeneza nyumbani wakati anafanya kazi zake katika soko jijini Nairobi.