Habari kutoka 5 Januari 2010
Kenya: Video ya Fundi Baiskeli na Vifaa vya Kienyeji
Katika blogu ya Afrigadget kuna video ya fundi baiskeli anayeonyesha na kuelezea jinsi ya kutumia zana alizozitengeneza nyumbani wakati anafanya kazi zake katika soko jijini Nairobi.
China na Hong Kong: Walinzi na Wauaji
Bodyguards and Assassins (Walinzi na Wauaji) ni filamu ya kuchangamsha iliyotolewa wakati wa Krismasi huko China, Hong Kong na Taiwan. Ikiwa ni filamu ya kizalendo, awali ilipangwa kutolewa mwezi Oktoba...