- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kenya: Ramani Mpya Ya Wazi ya Kitongoji Cha Kibera Kwenye Blogu

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Maendeleo, Teknolojia

Mradi wenye lengo la kutengeneza ramani mpya ya wazi ya kitongoji cha Kibera mjini Nairobi [1], Kenya: “Na jana tulimaliza siku nzima pale MS Action Aid kenya, ambako wanafunzi wa ki-Denmark pamoja na wengine waliotokea kwenye mashirika mbalimbali kama vile Ushahidi, UNICEF, Umande Trust na World Bike, walipoonyeshwa mbinu za kutengeneza ramani.”