- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Afrika Kusini: Wimbo wa Taifa kwa Wanaoongea Kiingereza

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Afrika Kusini, Lugha, Vichekesho

Wimbo wa Taifa wa Afrika Kusini kwa wanaoongea Kiingereza [1]: Ni njia kuu iliyoje ya kufafanua kwa kuonyesha Wimbo wa taifa wa Afrika Kusini kwa wale kati yetu ambao kwanza hatuufahamu mpaka sasa, pili tunaoufahamu lakini pengine hatujui jinsi ya kutamka maneno yake na tatu ambao hatuongei lugha iliyo kwenye wimbo huo.