- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad & Tobago: Mtrini Mpaka Kwenye Mifupa?

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Afya, Harakati za Mtandaoni, Mawazo, Sheria, Siasa, Utawala

“Kila siku ambayo ninapitia habari ninazidi kushawishika kuwa ninataka kuachana na klabu ya ‘Mimi ni Mtrini’ na kwenda sehemu nyingine”: Coffeewallah [1] ameshachoka na kila kitu kuanzia uhalifu mpaka kodi.