- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad & Tobago: Kampeni ya 350

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Afya, Habari za wenyeji, Haki za Binadamu, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Mawazo, Mazingira, Siasa, Teknolojia, Uchumi na Biashara, Wanawake na Jinsia

“Trinidad na Tobago ni kisiwa tajiri na nchi inayoendelea tajiri kwa mafuta na gesi asilia. Lakini pia tunashuhudia madhara mabaya ya maendeleo ya haraka kwenye nyanja za viwanda katika visiwa vyetu. Hii ni fursa ya sauti za wanawake kusikika”: Attillah Springer [1]anajihusisha na kampeni ya hali ya hewa 350.