Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

26 Oktoba 2009

Habari kutoka 26 Oktoba 2009

Misri: Watawala Wa Kiimla na Wake Zao

Trinidad & Tobago: Kampeni ya 350

Cambodia: Tuzo yamuenzi aliyenusurika na utumwa wa ngono

Sina Vann alikuwa na umri wa miaka 13 wakati alikupoja Cambodia kutoka Vietnam kwa kile kilichopaswa kuwa likizo. Badala yake, aliuzwa kama mtumwa kwa ajili...

Japan: Uchunguzi Mpya Juu ya Umaskini Waharibu Soga za Utajiri

Mjapani mmoja kati ya sita anaishi katika umasikini inasema ripoti mpya ya Wizara ya Ustawi wa Jamii [en]. Kwa mujibu wa takwimu za OECD, Japan...