- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China: Maisha ya Raia wa Kigeni Katika Jela ya Beijing

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Sheria, Uhamiaji na Uhamaji

Raia wa kigeni ambaye alitumia muda wa miezi saba iliyopita katika jela ya Beijing No. 1 Detention Center aliitumia idhaa ya DANWEI maelezo ya kina ya maisha yake ya kila siku katika jela hiyo [1].