Habari kutoka Januari, 2014
Wa-China Wametafuta Nini Zaidi Mtandaoni mwaka 2013
Mtandao wa kutafutia habari mtandaoni nchini China uitwao Baidu umetoa orodha ya maneno yaliyotumika zaidi kusaka habari. Orodha ya maneno kumi yaliyotumika zaidi ni kama ifuatavyo: Hali ya Hewa Taobao (tovuti...
Uajemi: Washairi Wawili Watiwa Nguvuni
Washairi Mehdi Mousavi na Fatemeh Ekhtesari wametokomea nchini Uajemi. Kwa mujibu wa taarifa za habari, washairi hao wamewekwa kizuizini tangu mwanzoni wa mwezi Desemba. Zaidi ya watu mia mbili wametia...