Habari kutoka Novemba, 2013
VIDEO: “Wao Hufanya kazi na kufa”, Ugonjwa Usioeleweka Yawaua Wafanyakazi wa Miwa wa Amerika ya Kati
Wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya Amerika ya Kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu: Kutoka Panama hadi kusini mwa Mexico, wafanyakazi wamashikwa na...
Je, Ni Mipango Ipi Xi Anayo kwa Vyombo vya Habari Nchini China?
David Bandurski kutoka mradi wa vyombo vya habari nchini China anaangalia jinsi sera ya vyombo vya habari ya uongozi mpya wa Chama cha Kikomunisti ya Kichina, hasa baada ya mkutano...
Wasanii wa Brazil Waungana Kuwahifadhi Simba Nchini Kenya
Brazilian artists contribute their artwork to a crowdfunding campaign supporting the Ewaso Lions Project, dedicated to saving lions in Kenya.
Wimbi la Ukatili Dhidi ya Waandishi wa Habari Nchini Guatemala
Mwandishi wa habari wa Guatemala Carlos Alberto Orellana Chávez alipigwa risasi mnano Jumatatu Agosti 19, 2013, yeye ni mwandishi wa habari wa nne kuuawa nchini Guatemala mwaka huu. Katika makala...
Ecuador: “Harakati ya Kiasili Itaendelea”
“Serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika, lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa. Bora kuna ukosefu wa haki, na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini...
PICHA: Mkutano wa Chama Kikuu cha Upinzani Msumbiji cha Shambuliwa na Polisi wa Kutuliza Ghasia
Mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha MDM katika Beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa – waliojeruhiwa ni pamoja na...
Tajikistan: Wapiga Kura Wana Haki ya Kujua Kama Wagombea “Wameshiba’ au ‘Wana Njaa’
Kama mtandao wa Sauti za Dunia ulivyoripoti, baadhi ya raia wa mtandaoni wanasema watampigia rais anayemaliza muda wake wakati wa uchaguzi wa Novemba 6 katika Tajikistan kwa sababu “kiongozi aliyeshiba...
Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza: ‘Iko Wapi Serikali Yetu?’
Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini bado wahanga wa kimbunga wanalalamika kuwa hawajapokea msaada wowote kutoka serikalini
India: Watu Zaidi ya Milioni 60 Wanaugua Ugojwa wa Kisukari
Ikiwa na watu zaidi ya milioni 60 wanaougua ugojwa wa kisukari [pdf] na wengine wanaokadiriwa kufikia milioni 77 walio katika hatihati ya kuugua ugojwa huu, nchi ya India inajikuta katika...
Simulia Hadithi Yako Kupitia Programu ya StoryMaker na Ushinde €1,000

Tumia Programu tumizi ya StoryMaker kusimuliza habari zako na ushindanie zawadi ya €1,000. Hadithi zote zitakazoingizwa kwenye www.storymaker.cc zinakuwa zimeingia kwenye mashindano. Shirika la Free Press Unlimited linatafuta hadithi bora ambayo ingebaki uvunguni bila kuwa na zana hiyo ya simu za mkononi mahususi kwa ajili ya kusimulia.