Habari kuhusu Swaziland kutoka Juni, 2014
Twiti za Moja kwa Moja za Kesi Dhidi ya Mwanasheria wa Haki za Binadamu na Mwandishi wa Habari Nchini Swaziland
MISA-Swaziland anatwiti moja kwa moja mwenendo wa mashitaka dhidi ya mwanasheria wa haki za binadamuThulani Maseko na mwandishi wa habari Bheki Makhubu bila ruhusa ya mahakama nchini Swaziland. Wawili hao...