Habari kuhusu Sudani kutoka Julai, 2012
Sudani: Maandamano Yachochea Kukamatwa kwa Mwanaharakati wa Twita
Maandamano makubwa yaliyofanyika nchini Sudani siku ya Ijumaa yalisababisha kukamatwa kwa wanaharakati wengi wa nchi hiyo, pamoja na watumiaji maarufu wa mtandao wa twita.