· Aprili, 2015

Habari kuhusu Afrika Kusini kutoka Aprili, 2015

Afrika Kusini Imejitenga na Waafrika Wengine?

  17 Aprili 2015

Mashambulizi ya hivi karibuni huko Afrika Kusini yanahusisha wahamiaji kupigwa, kuuawa, kuchomwa moto, wizi madukani pamoja na wizi wa mali zao. Watu watano wameshauawa, miongoni mwao akiwamo mvulana wa miaka 14 aliyeuawa siku ya jumatatu.