· Septemba, 2014

Habari kuhusu Afrika Kusini kutoka Septemba, 2014

Majadiliano na Picha za Mkutano wa Highway Africa 2014

  8 Septemba 2014

Mkutano wa Highway Africa 2014 ulifanyika kuanzia tarehe 7-8 Septemba, 2014 kwenye Chuo Kikuu cha Rhodes, Grahamstown, Afrika Kusini. Maudhui ya mkutano huo yalikuwa Mitandao ya Kijamii -kutoka pembezoni kwenda kwenda kwenye vyombo vikuu vy habari. Angalia picha na mzungumzo kuhusiana na mkutano huo hapa.