· Novemba, 2008

Habari kuhusu Afrika Kusini kutoka Novemba, 2008

Afrika ya Kusini: Matumizi ya Simu za Viganjani Kupambana na UKIMWI

  4 Novemba 2008

Afrika ya Kusini imegundua silaha mpya katika vita dhidi ya VVU/UKIMWI – simu za viganjani. Kwenye mchakato mpya, jumbe za maandishi zitakuwa zikitumwa kila siku kuwahamasisha Wa-Afrika ya Kusini kwenda kupimwa na kutibiwa ugonjwa huo. Mradi huo, unaoitwa Mradi wa Masiluleke au Project M, ulitangazwa rasmi wiki iliyopita wakati wa...