Habari kuhusu Somalia kutoka Februari, 2015
Mwanamke Atumia Mtandao wa Instagram Kubadili Mtazamo Kuhusu Somalia
Ugaaso Boocow anataka kubadili mtazamo wa watu kuhusu nchi ya Somalia. Lakini badala ya kuingia mitaani au kutumia radio, ameamua kuingia kwenye mtandao wa Instagram na anakuwa maarufu humo.