Habari kuhusu Somalia kutoka Novemba, 2009
Somalia: Kuufahamisha mtandao wa waandishi na wanablogu wa Kisomali
Kituo cha habari cha Somalia ni jukwaa la waandishi na wanablogu wa Kisomali wanaoishi ndani na nje ya Somalia. Kituo kinasambaza machapicho ya habari na kuchapisha blogu zilizoandikwa na waandishi wa habari.