Habari kuhusu Senegali kutoka Oktoba, 2013
#EauSecours: AlamaHabari ya Kufanyia Mzaha Tatizo la Maji Dakar, Senegal
Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag) #eausecours (#H2OUT) inatumika hivi sasa kwneye mtandao wa twita na Facebook kutaniana kuhusiana na ukosefu wa maji safi unaoendelea, kama ilivyoonekana...