Habari kuhusu Senegali kutoka Januari, 2010
Senegal Yatoa Ardhi ya Bure kwa Walionusurika na Tetemeko la Ardhi
Rais wa Senegal, Abdoulaye Wade, ametawala vichwa vya habari kwa kutoa ardhi ya bure kwa Mu-Haiti yeyote aliyenusurika na tetemeko na ambaye “atapenda kurejea kwenye asili yake” kwa mujibu wa msemaji wake. Kwenye wavuti, tangazo hilo limepokelewa na watu wengi kwa kejeli.