Habari kuhusu Rwanda kutoka Novemba, 2014

Kupambana na Utapiamlo Nchini Rwanda Kupitia Muziki

  17 Novemba 2014

Wanamuziki maarufu wa Rwanda King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini Rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa YouTube. Video hiyo pia inapatikana kwa maandishi ya Kiswahili .