Habari kuhusu Naijeria kutoka Disemba, 2013
Wanaijeria Wamkumbuka Nelson Mandela
Nelson Mandela, mzalendo mpendwa na mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel, amefariki Desemba 5, 2013. Wanaijeria wanakumbuka kumbumbuku iliyoachwa nyuma na Rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini