Habari kuhusu Naijeria kutoka Agosti, 2012

Nigeria: Rais wa Seneti Atakiwa Kuwataja Wafadhili wa Boko Haram

  31 Agosti 2012

Makundi mawili ya vijana Kaskazini mwa Nigeria Jumatano yalimkosoa Rais wa Seneti, David Mark, kutokana na matamshi aliyotoa siku za karibuni akiwataka viongozi wa mikoa ya kaskazini kudhibiti shughuli za kundi linaloogopwa sana la Boko Haram, Connected Africa anaripoti.