Habari kuhusu Guinea kutoka Februari, 2019
Guinea Inataabika Chini ya Rais Condé Anayeungwa mkono na Urusi Kubadili Katiba Agombee Awamu ya Tatu
"Suala la nani agombee nafasi ya urais ni suala la ndani ya nchi. Na mamlaka ya nchi yako chini ya wananchi. Si kazi ya balozi kuamua mustakabali wa nchi ya Guinea."