Habari kuhusu Kameruni kutoka Februari, 2015
Boko Haram Yaua Watu Wasiopungua 81 Huko Fotokol, Cameroon Kaskazini
Mnamo Februari 4, Boko Haram walifanya shambulio baya kwenye mji wa Fotokol Kaskazini mwa Cameroon, baada tu ya kuvuka mpaka wa Naijeria. Mamia wa raia wanahofiwa kupoteza maisha 81 wamethibitika...