· Julai, 2009

Habari kuhusu Kameruni kutoka Julai, 2009

Kameruni: Wanablogu Waijadili Hotuba ya Obama Ghana

Rais wa Marekani Barack Obama alitoa hotuba yake Ghana ambayo inaweza kuchukuliwa kuwa kama hotuba ya sera yake ya Afrika. Wakameruni wa nyumbani na wale wa ughaibuni wamekuwa wakijadili maneno yaliyotamkwa na Kiongozi wa Marekani mwenye asili ya Afrika kwa kupitia ulimwengu wa blogu.

22 Julai 2009