Habari kuhusu Angola kutoka Oktoba, 2020
Maandamano Nchini Angola Yakitaka Haki Itendeke Kwa Silvio Dala, Daktari Aliyefariki Akiwa Mikononi Mwa Polisi
Waandamanaji na Chama cha Madaktari waliikosoa taarifa ya polisi kuhusu tukio hili inayosema Dala alifariki baada ya kuzimia na kuanguka akiwa kituo cha Polisi